Thursday, March 29, 2012

Kijukuu cha bibi k Aliyepania Kumaliza Mapigano MARA kutumia mic

Kwa jina kamili anaitwa William Joseph Bundala lakini Mara na Shinyanga wanamtambua kwa IDcard ya Kijukuu cha bibi K,ambaye hustlling zake zilianza miaka takribani 5 iliyopita katika kuwaonyesha waTanzania hawajakosea kumpa cheti cha Uandishi wa Habari ili aitangaze jamii yake kwa umahiri.

Kijukuu cha bibi k alipata elimu yake ya uandishi kupitia chuo kikubwa cha habari hapa nchini kinachojulikana kuliko cha serikali,Dar es salaam school of Journalism kilichopo ilala,DSJ ilimtunuku Kijukuu miaka michache iliyopita cheti cha Uandishi wa habari kama Producer wa video,Producer wa audio yaani radio,photographer.

KIJUKUU pozi akiwa studio
Kijukuu alianza kazi hiyo ya utangazaji katika mkoa wa Shinyanga na baadaye kuelekea Mara sina hakika kama hapo ndo mwisho wa safari yake.

Kijukuu ameongea na Xklusivudaku kuwa yupo Mara lakini yupo kwa malengo na nia yake ni kumaliza mapigano katika mkoa huo wa Mara kwa ktumia uwezo wake aliopewa na mungu,pia alisema ameeshaianza kazi hiyo ambayo hajui itachukua muda gani na itamgarimu nini mpaka sasa ameshapata baadhi ya mafanikio ambayo ndo lengo lake kuu.

KIJUKUU akiwa studio
Sina nia ya kuondoka Mara kwa sasa kwa sababu kwanza nipo hom alafu nafanikisha mambo mengi sana nikiwa Mkoani kwangu yaani nafanya kazi kwa kujiamini nikiwa na lengo la kusonga mbele......Alimaliza hivyo Kijukuu.
KIJUKUU kwenye pozi
Hakika ataitumia vyema taaluma yake kutatua matatizo,kujenga jamii,na kufia malengo yake


XKLUSIV UDAKU ipo na wewe katika Harakati siku zote.

No comments:

Post a Comment