Friday, March 30, 2012

Willow na Mellow Yellow Hairdo!!

Mwanamuziki mwenye umri mdogo ambaye anafanya poa katika game ya music Worldwide Willow Camille Reign Smith ambaye pia ni binti wa musician,comedian na actress,ametoka na kituko cha aina yake baada ya kudesign her own style ya nywele ambayo ameiita mellow yellow hairdo.

Wengi walipendezwa na ubunifu huo aloonyesha willow na kusema atafika mbali coz anafanya mambo mazuri kuzidi umri wake,











Singer huyo wa whip my hair anapenda kubadilisha rangi ya nywele mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment