Monday, April 23, 2012

Filamu ya NDOA YANGU yagombaniwa sokoni

 filamu ya late Steven Kanumba imeingia sokoni kwa kishindo,imeonekana kila kona watu wanaigombania






Saturday, April 21, 2012

Mange Kimambi atoka kwa dhamana,U TURN yafungwa


JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, limekiri kumshikilia kwa saa kadhaa kwa mahojiano mmiliki wa ‘blog ya Uturn’, Mange Kimambi, kwa madai ya kumhusisha muigizaji maarufu nchini, Vicent Kigosi au Ray, na kifo cha nguli wa tasnia hiyo, Steven Kanumba, ‘The Great’.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, Kamanda wa Polisi mkoa huo, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Charles Kenyella, alisema Ray alikwenda kulalamika kwenye kituo hicho, kuhusu maneno yaliyoandikwa kwenye mtandao huo akiomba msaada wa jeshi hilo.

“Ninathibitisha kwamba huyo dada tulimshikilia hapa kwetu tangu jana (juzi), tumemwachia leo (jana), kwa sababu dhamana ni haki yake, ila tunaendelea na upelelezi, maana anadaiwa kutuma taarifa kwenye mtandao akimhusisha Ray na kifo cha Kanumba.

“Hiyo blog haijahalalishwa kutoa taarifa za kukashifu na kuwadhalilisha watu… ameandika skandali kwa Ray, tukiiachia hii, maneno hayo yanaweza kuonekana halali na kuleta maafa katika jamii, hasa kwa huyo anayetajwa,” alisema Kamanda Kenyella na kuongeza kwamba kesi iko mahakamani, hivyo si vema kuingilia upelelezi.

Kwa upande wake, Ray aliyekuwa rafiki wa karibu wa marehemu Kanumba, alisema kitendo hicho kinahatarisha maisha yake, hivyo ameapa kulishughulikia suala hilo, huku akisisitiza kwamba suala hilo linamvunjia heshima na kumharibia kazi yake.

“Hiki sio kitu cha kweli, Kanumba ni mdogo wangu na tumetoka mbali kimaisha, huyu dada Mange Kimambi simjui… ameandika uongo, sijajua hizi habari amezipata wapi hii ni kutaka kunishushia heshima katika jamii.

“Uigizaji ndiyo kazi yangu, kwa hiyo anapoandika na kuweka kwenye intaneti inayosomwa dunia nzima, anataka kuniharibia kazi yangu? Anataka kuniharibia maisha? Anataka kunipotezea mashabiki?
“…Unategemea watu wanioneje? Hili sitaliacha, nitalifanyia kazi na kulifikisha mahakamani ili iwe fundisho kwa wanaotumia kalamu zao kutaka kuwaharibia wengine, chochote kitakachonikuta nitadili na huyo mama... haya ni maisha, nitaendelea kuvumilia Mungu yupo,” alisema Ray anayetamba kwenye medani ya filamu ndani na nje ya nchi.

Juhudi za kumpata Mange, aliyewahi kuandaa shindano la urembo la Dar Indian Ocean 2006 na kumwibua Wema Sepetu, hazikufanikiwa baada ya simu yake kutopatikana.
SOURCE:TANZANIA DAIMA

Tuesday, April 17, 2012

Kanye West ahojiwa Theraflu


The people at Theraflu insist they're not as stuffy as you think ... claiming they DID NOT force Kanye West to change the title of his new song.

The song in question is "Theraflu" ... or WAS "Theraflu" -- Kanye retitled his Kris Humphries diss track over the weekend and it's now known as, "Way Too Cold."

Rumors are swirling that Kanye buckled under legal pressure from the company behind Theraflu -- but both Kanye and the cold medicine people claim it's all BS.

In fact, the Theraflu people sent us a statement about the situation ... telling us, "Novartis Consumer Health did not ask that the name be changed -- that request would be way too cold."


Beyonce atamba kwenye cort ya Basketball


ni mama kwa miezi mitatu sasa lakin anaonekana ni mwenye furaha sana kupata mtoto na kuwa mama kitu ambacho akimlimit kufanya jukumu lake lolote,ameonekana katika kiwanja cha basketball akiwa na mume wake na mpwa wao Jules.




Thierry Henry nae alikuwepo uwanjani



Monday, April 16, 2012

CLOUDS FM wazindua new seasons kwa mbwembwe

Dinna Marios na Gea habib viwanja vya mnazi mmoja

Power breakfast wakiendesha kipindi mnazi mmoja

Gerrald hando na Barbra hassan

TUZO za KTMA 2012 utata mtupu

1. WIMBO BORA WA RAGGAE.
-ARUSHA GOLD BY WARRIORS FROM EAST.
2. WIMBO BORA WA DANCE HALL.
- MANENO MANENO BY QUEEN DARLIN.
3. WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA.
- DUSHELELE BY ALI KIBA.
4.BORA WENYE VIONJO VYA KIASILI.
- VIFUU UTUNDU BY A.T-
5. WIMBO BORA WA TAARABU.
- NANI KAMA MAMA BY MASHAUZI CLASSIC ( AISHA MASHAUZI).
6. WIMBO BORA WA KISWAHILI.
- DUNIA DARAJA BY TWANGA PEPETA-
7. WIMBO BORA WA AFRO POP.
- HAKUNAGA BY SUMA LEE-
8. WIMBO BORA WA R&B.
- NUMBER ONE FAN BY BEN PAUL-
9. WIMBO BORA WA HIP HOP.
- MATHEMATICS BY ROMA-
10. MSANII BORA ANAECHIPUKIA.
- OMMY DIMPOZ (NAI NAI SINGER).
11. RAPA BORA WA BAND.
- KALIJO KITOKOLOLO-
12. MSANII BORA WA HIP HOP.
- ROMA MKATOLIKI-
13. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA.
 - NAI NAI BY OMMY DIMPOZ FT. ALI KIBA-
14. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI.
-KIGEUGEU BY JAGUAR-
15. MTUMBWIZAJI BORA WA KIKE.
- KHADIJA KOPA-
17. MTUNZI BORA WA MWAKA.
    - DIAMOND-
16. MTUMBWIZAJI BORA WA KIUME
- DIAMOND-
18. MTAYARISHAJI BORA WA MAPIGO YA MUZIKI.
- MANEKE-
19. VIDEO BORA YA MWAKA.
- MAWAZO BY DIAMOND-
20. WIMBO BORA WA MWAKA.
- HAKUNAGA BY SUMA LEE-
21. HALL OF FAME.
     -  TAASISI JKT-
22. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI.
      - KING KIKII-
23. HALL OF FAME KWA MTU BINAFSI.
     - DR. REMMY ONGALA-
24. MWIMBAJI BORA WA KIKE.
     - LADY JAY DEE-
25. MWIMBAJI BORA WA KIUME.
      - BARNABA-