Tuesday, April 3, 2012

KESI YA KAJALA leo kunguruma KISUTU

Mcheza filamu maarufu hapa nchini aliyejizolea sifa kibao kupitia muvi tofauti ikiwemo Devil Kingdom leo hii kesi yake inanguruma katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu baada ya kupigwa kalenda.

No comments:

Post a Comment